Ada kwa shule za Msingi na Sekondari zimerejeshwa tena?

Sio muumini wa bure, iliondoa uwajibikaji wa wazazi.
 
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ni michango tu kama michango ya Harusi. Ukitaka unatoa na kama vipi hautoi Ada yenyewe imeondolewa. Hata hivyo kutoa hii michango ni lazima
 
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!
unapopata utamu wakati wa kugegeda/kugegedwa ni lazma uulipie utakapozaa. Watu walipie ada watoto wao, waache mambo ya dezo. Hakuna vya bure.
 
Kama itakuwa kweli naweza kusema hii ni habari njema kwa elimu ya watoto wetu.
Maana hii elimu bure sina uhakika kama serikali inatoa gharama zote zinazohitajika shuleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo 60000 Ni kwa o level au A level
 
Kama itakuwa kweli naweza kusema hii ni habari njema kwa elimu ya watoto wetu.
Maana hii elimu bure sina uhakika kama serikali inatoa gharama zote zinazohitajika shuleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kote elimu hugharamiwa vibaya mno

Mfano mdogo; nchi ya Denmark utasoma utakavyo bila malipo lakini ukimsliza na kupata kazi utakatwa kodi kwenye mshahara more than 40% ya mshahara.
 
Duniani kote elimu hugharamiwa vibaya mno

Mfano mdogo; nchi ya Denmark utasoma utakavyo bila malipo lakini ukimsliza na kupata kazi utakatwa kodi kwenye mshahara more than t0% ya mshahara.
Mi naona kama wanataka kutoa elimu bure wangetoa kwa wanafunzi yatima na wanaotoka katika mazingira magumu.
Hii ingekuwa na tija kuliko ilivo sasa.
Cha kushangaza hakuna chuo cha bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!

bora iwe ivo kulko bure afu elimu zero
 
Mi naona kama wanataka kutoa elimu bure wangetoa kwa wanafunzi yatima na wanaotoka katika mazingira magumu.
Hii ingekuwa na tija kuliko ilivo sasa.
Cha kushangaza hakuna chuo cha bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoa elimu bure wakati huongezi mishahara? Mwalimu atatoa wapi moyo wa kufundisha?
 
Yetu ni kusema tutamkumbuka.....
as days goes by huyu dingi mtamkumbuka mno mnooo
Mkuu siku y apili nalala bila ya umeme.yaani unakatikakatika Sana. Saivi wajanja na wasio malimbukeni wameshika nchi Ila tunaisoma namba.
Yaani Bora tu tuwape nchi washamba waliochunga ng'ombe.
Hawa wajanja wanaua reli afu wanaleta magari Yao wapige hela
 
Back
Top Bottom