johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ada ilishaondolewa bwashee!Kwani ada ilishaondolewa?
Elimu bure ni ghali kuliko ya kulipia.
Kayumba skul zama hizi ni kupoteza muda, utasoma na utawarudia wazazi, hiyo ni elimu bure au ghali?
Kwa kuwa ni CCM hutanielewa
Bro kayumba skul ni ghali kuliko private...huko sio kusoma ni kupoteza muda.Ada ilishaondolewa bwashee!
Yetu ni kusema tutamkumbuka.....Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000
Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja nisitie neno mpaka nithibitishe kwanza
Nitamkubuka ndio.Yetu ni kusema tutamkumbuka.....
as days goes by huyu dingi mtamkumbuka mno mnooo
Ndio koments zangu zote nasisitizia hili mkuuWatu hawajui kuwa bure ni ghali
Yetu ni kusema tutamkumbuka.....
as days goes by huyu dingi mtamkumbuka mno mnooo
Wengi tu ama unaona wivu mithili ya mke mwenzaSasa bwashee umeanza kulaumu bila kujuwa ukweli.
Marehemu akumbukwe na wangapi? Au mwenyewe tu mkuu.
Ww pambana kwanza katiba ikae sawa sawia...Nitamkubuka ndio.
Lakini kwa uchapa kazi na sio elimu bure, huo ni upotevu wa muda, elimu bure ni elimu bora na sio bora elimu. Elimu bure ni dhana, elimu bure ni siasa tu.
Siku zote elimu ni ghali kuliko chochote.
Elimu bure hasa ya dunia ya tatu haiwezi kuleta mapinduzi ya viwanda wala kilimo.
Kuna wakati huwa unakurupuka, hapa tinajadili unaanza kuleta ujinga wako kama kawaidaWw pambana kwanza katiba ikae sawa sawia...
jukumu la elimu kuwa bora linapaswa kuwa la serekali.........
kama vile ambavyo jukumu la kupata maji masafi linapaswa kuwa la serekali
Wengi tu ama unaona wivu mithili ya mke mwenza
Nani alikwambia wafu hufufuka huku duniani kwa nyakati hizi ambazo sio za yesuCna tatizo na magu,,, amekufa na sasa 2ko na mama samia.
Mitume wa Mwenyezi Mungu wameondoka na ndio vipenzi wa Mwenyezi Mungu, sembuse Magufuli!!! Basi jichukuweni na gwajima wenu mkamfufue bwashee kama uwezo huo munao.
Hujielewi ww utakuwa ni bangi mtupu wwKuna wakati huwa unakurupuka, hapa tinajadili unaanza kuleta ujinga wako kama kawaida