Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mama mitano Tena!View attachment 3555873
Mistake ya Kwanza kubwa ambayo tumefanya kama nchi ni kumuita RAISI mama...
Mama atabaki kuwa mama Tu, hawa ni watu wa kukaa jikoni sio kuongoza nchi
Taangu Lini TRA ikahusika na Wharfage??? Muwe mnasoma soma kwanza kabla ya kupost Upuuzi wenu TEC na CHADEMA mnafikiria kwa kutumia Makali tangazo limeandika TPA wewe unaleta TRA?Kutoka kwa mdau X
HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA
Tunaomba utusaidie kupaza sautiLeo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4
Pitishieni hayo magari ZanzibarKwenye gharama za Wharfage ndio kuna maumivu makubwa. Wharfage (tozo ya kutumia gati/bandari) imeongezeka karibia mara 5–7 zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.
Kwa mfano, kama gharama ilikuwa 1,000 kwa kontena, now ni mara 5–7 yake. Kama mwanzo ulikuwa unapaswa kulipia 250,000 TZS, now jiandae kutoa kati ya 1,250,000 TZS hadi 1,750,000 TZS kwa tozo moja. Ni ongezeko la moja kwa moja kwenye gharama ya uendeshaji (Overhead costs).
---
Kutoka kwa mdau X
HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA.
Tunaomba utusaidie kupaza sautiLeo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4
View attachment 3555869View attachment 3555870View attachment 3555871
Mpaka 2030 hiyooooMama mitano Tena!View attachment 3555873
Ni mwendo wa kutengeneza tatizo, wananchi wanalalamika, halafu unalitatua hilo tatizo na wananchi wanakupigia makofi huku wanasema tuna viongozi wasikivu.Wamesitisha Hadi July 2026