Nipo mkoani kakaDuh, mwamba wapi hiyo, kitambo sana hujaonekana humu.
unashauria unachukua kama lilivyo kwanini anakubali kubeba mambo kama yalivyoShida huyu mama anapangwa/anapigwa saundi na wajanja ili apate mgao. Huyu mama uwepo wake unaligharimu taifa pakubwa.
Utabiri: Baada ya huyu mama kiondoka kutakuwa na skendo nyingi sana za rushwa na ubadhirifu, kuliko kipindi chochote nyuma.
Zaidi ya yale ya Oktoba 29; au unayo maana nyingine ya "mambo ya ovyo"?Hii issue ya bandari na hao DP World inaweza kuja kuibua mambo ya ovyo kuwahi kushuhudia.
DP World yupo gati namba moja mpaka namba tatu, sehemu ndogo sana anayoisimamia.