Ada mpya za Bandari zimeanza kutumika tangu Machi 8, 2026. Ni mwendo wa kukamuliwa mpaka tujute!

Ni mwendo wa kutengeneza tatizo, wananchi wanalalamika, halafu unalitatua hilo tatizo na wananchi wanakupigia makofi huku wanasema tuna viongozi wasikivu.

Wametoa muda kwa wadau wa Bandari kupitia mikataba yao na kupanga bajeti mpya za operations kulingana na hizo tozo mpya. Ni charges ambazo ilitakiwa zianze toka February this year. Zilikuwepo kwenye GN Toka muda.
 
Hii issue ya bandari na hao DP World inaweza kuja kuibua mambo ya ovyo kuwahi kushuhudia.
Sure kama walisema Dp world inakuja kuleta unafuu imekua tofauti na tulivyotegemea Dp world inaweza kua ya yule kiongozi wa wanamtandao born town nikikumbuka Magufuli alitumia pesa kodi za watanzania kuboresha bandari then anakufa wanaikabizi kwa waarabu
 
Nchi ya kifala kweli sio kidogo
 
Th
Nchi ya hovyo sana hii. Kinachofuata ni wafanyabiashara nao kupandisha bei bidhaa wanazoingiza nchini kufidia gharama zilizoongezeka.
That was very obvious...
Madhara ya kiburi cha wahuni yanaanza mfikia mtanzania wa chini mdogo mdogo...

Hii nchi kama hutaki mikopo na msaada,

1.Bana matumizi
2.Invest kwenye rasilimali watu
3.Tighten internal control systems
4.Pambana na rushwa kwa dhati
5.Rasilimal za nchi kama (Ardhi,Madini,misitu na madini) mikataba yake iwe kweli ya kumsaidia maskini sio vikundi vya wadau!

Kinachoenda kutokea wala sio muujiza, hali kwa watu wa kipato cha kati na chini watatikiswa kweli kweli hadi ifike hiyo 2030...
(Hawa ndio wengi waliodhurika na mauaji ya "dark october"..matajiri walikaa ndani)

Ccm itakuwa na wakat mgumu sana kipind hicho sababu options zote walizonazo wamesha zi tumia ..na dunia itakuwa macho kweeeli kushuhidia kinachoenda kutokea, MWISHO WA UBAYA NI AIBU!

Nchi inahitaji overhaul..kila kitu kiko vurugu mechi!
 
NAOMBA KUELEWESHWA KWA UPOLE SOTE TUFAHAMU NAKUELEWA,

Mimi nilidhani ujio wa DP WORLD ndio ambao ungehusika kwenye matengenezo wa hiyo bandari! Iweje leo tusikie GHARAMA ZA BANDARI zinaongezeka ili ipatikane fedha yakuboresha miundo mbinu bandari..??

Au mimi sio muelewa?
 
Utapigwa Tu, Nami Nasema Upigwe Tu, Maana Tumechoka
😛😆😅😬😁😂🤪🤩😢😀
 
DP World sio muendesha Bandari Bali mtoa Huduma kama kin swiss port ila sio jukumu lake kufanya maintainance Kwa ujumla wake.
 
Maumivu haya siyo kwa wafanyabishara bali kwa Watanganyika wote,siku zote mzigo anabebeshwa mlaji wa mwisho. Asanteni sana CCM kwa kuiuza Tanganyika utumwani Zanzibar.
 
Tumenyimwa misaada na lazima miradi ya maendeleo iendelee. Cha kusikitisha end of the day wananchi wa hali ya chini ndio wanaumia.
Pumbavu kabisa wewe jamaa samahani lakini kipi kilichopelekea tukanyimwa misaada? Je karne hii 21 unategemea misaada kuendesha nchi? Je hii bandari kwa nini walibinafusisha wakati Magufuli aliacha ametegeneza bandari na kupanua kina?
 
Kwani uendelezaji si unatakiwa ufanywe na DP world au? Au yeye DP world anawekeza nini kama sisi ndio tena tumfanyie uwekezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…