Ada mpya za Bandari zimeanza kutumika tangu Machi 8, 2026. Ni mwendo wa kukamuliwa mpaka tujute!

Shida huyu mama anapangwa/anapigwa saundi na wajanja ili apate mgao. Huyu mama uwepo wake unaligharimu taifa pakubwa.

Utabiri: Baada ya huyu mama kiondoka kutakuwa na skendo nyingi sana za rushwa na ubadhirifu, kuliko kipindi chochote nyuma.
unashauria unachukua kama lilivyo kwanini anakubali kubeba mambo kama yalivyo
 
Hii issue ya bandari na hao DP World inaweza kuja kuibua mambo ya ovyo kuwahi kushuhudia.
Zaidi ya yale ya Oktoba 29; au unayo maana nyingine ya "mambo ya ovyo"?

Kwa uelewa wangu juu ya uliyosema, hayo hayatakuwa "mambo ya ovyo" hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…