Ada shule za kata

Ada shule za kata

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
1,152
Reaction score
637
Kwanini izi fees na michango ya shule Zetu za kata haziko standard? Mnatuambia fees Tshs.20,000/= ila michango inawekwa mpaka inafika karibu laki mbili mfano, leo nimelipa fees kama ifatavyo
1.Tuition fee-Tshs.20,000
2.Umeme-Tshs. 10,000
3.Maji-Tshs.5,000
4.ukarabati-5,000
5.NECTA-50,000
6.Picha-5,000
7.ream-10,000
8.Maabara-10,000
9.taaluma-10,000
10.Mlinzi-10,000
11.Mock-15,000
12.Tahadhari-10,000
13.Remidial-15,000
Jumla Tshs.175,000/= sawa hii pesa ndogo ukilinganisha na shule za matajiri lakini tupeni basi standard na mtuambie vitu gani vyakulipa na ambavyo si vya kulipa kwa mfano kuna remidial afu kuna taaluma mi nazani hapo kingelipwa kimoja
 
Ikiwa unaona elimu ni ghari, jaribu ujinga...Unataka walimu wakale wapi?
 
Katka suala la Elimu ndugu yangu ktk hii nchi lilikwsha haribiwa zaman, matabaka kibao na hakuna anayehoj.
 
Tatizo sio ghari tatizo nikulipa vitu visivyo na msingi au ambavyo havina mantiki

Kitu gani hakina mantiki kati ya ulivyo viorodhesha ? Matajiri wanatumia pesa nyingi sana kusomesha watoto wao, thats y poor get poorer and rich get rich . Usifanye mchezo na suala la elimu mkuu. Acha kabisa hiyo habari
 
Back
Top Bottom