specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Wadau,ninatatizo la kuzungumza lugha ya kiingereza vizuri kwa ufasaha na uhakika,nataka kujisalimisha British Council kabla sijaumbuka...sasa kwa anayejua ada zao na lini wanaanzaga kozi zao naomba anipe taarifa ili nijipange....."ya mlugo yasinikute mie"

bora ukamtafute ras simba
Ras simba ata simwamin, anakwambia usijua ngel ndan ya mwez rudisha ada
Fanya mazoea ya kuongea kingereza mara kwa mara utajua wengi tunajua englisha gramar vema kuzungumza ndio tatzo,kama unakosa mtu wa kuonge nae niajiri mimi kwa mwezi laki 4,tutakua tunafanya conversation ngeri mda wote unapokua free..siku za wkend ni kuanzia asubuh hadi jion,
Nina crew yangu kwa ajili hyo,interested nipm