Ada ya British Council

Ada ya British Council

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Wadau,ninatatizo la kuzungumza lugha ya kiingereza vizuri kwa ufasaha na uhakika,nataka kujisalimisha British Council kabla sijaumbuka...sasa kwa anayejua ada zao na lini wanaanzaga kozi zao naomba anipe taarifa ili nijipange....."ya mlugo yasinikute mie"
 
sina hakika sana maana sikumbuki vzuri,
waliniambia ni laki nne na 80 kwa english ya kawaida na laki 5 kwa business english, course ni miezi miwili na nusu na kabla ya kuanza unafanya test ili kupima uwezo wako ndo wakupangie darasa,

maelezo zaidi pita pale watakuelekeza vizuri tu
 
poa ndg ila hyo ada kma ndo kweli basi niparefu sana.
 
kama unaona ada ni ndefu nenda uchochoroni ukafundishwe English Mchwara.
Toa hela pata kilicho bora ndugu.
 
Wadau,ninatatizo la kuzungumza lugha ya kiingereza vizuri kwa ufasaha na uhakika,nataka kujisalimisha British Council kabla sijaumbuka...sasa kwa anayejua ada zao na lini wanaanzaga kozi zao naomba anipe taarifa ili nijipange....."ya mlugo yasinikute mie"

lugha ni mazoezi ya kuongea tu binamu, pendelea sana kusoma articles, magazine za kiingereza pia penda sana kuwa karibu na watu wanaoongea lugha hiyo utaweza
 
Mtafte jamaa anitwa Bategereza atakusaidia.
 
Elimu garama mkuu wew jipnge ukakijue vizur kudhungu
 
Fanya mazoea ya kuongea kingereza mara kwa mara utajua wengi tunajua englisha gramar vema kuzungumza ndio tatzo,kama unakosa mtu wa kuonge nae niajiri mimi kwa mwezi laki 4,tutakua tunafanya conversation ngeri mda wote unapokua free..siku za wkend ni kuanzia asubuh hadi jion,
Nina crew yangu kwa ajili hyo,interested nipm
 
aahaah! itabdi niende niombe kukaa bweni na watoto wa english medium jombaa.....
 
Back
Top Bottom