F fred beng Member Joined Mar 31, 2013 Posts 48 Reaction score 1 Apr 1, 2013 #1 Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au nimechelewa?
Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au nimechelewa?
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,066 Reaction score 294 Apr 1, 2013 #2 MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14 Utapata taarifa zaidi maana ni chuo ambocho kipo chini ya wizara ya afya
MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14 Utapata taarifa zaidi maana ni chuo ambocho kipo chini ya wizara ya afya