Ada ya chuo cha maabara singida ni tsh ngapi?

Ada ya chuo cha maabara singida ni tsh ngapi?

fred beng

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
48
Reaction score
1
Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au nimechelewa?
 
Back
Top Bottom