Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hujui inachangia kuwapatia wengine mkopo ndomana manaomba mkopo watu 10 wanapata 3 ndio mfumo wa Maisha mpaka ukubali kubadilikaHabari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara nyingine,itumike ileile uliyoombea mwanzo.
Ahsanteni.
Sasa hapo sijui Nini!?Na kubadilika kwa kipi?! Naona hujaelewa nilichoandika,umerukia tractor.Hujui inachangia kuwapatia wengine mkopo ndomana manaomba mkopo watu 10 wanapata 3 ndio mfumo wa Maisha mpaka ukubali kubadilika
50,000Duuuh unaomba mkopo halafu unatoa tena pesa?
Unatoa sh ngap
Kiendacho kwa mganga..........Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara nyingine,itumike ileile uliyoombea mwanzo.
Ahsanteni.
Duh!50,000
Duuuh elf 50 kuomba mkopo?50,000