Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.
Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au hii ndo faida ya kuwa na viongozi mazuzu w
Hapo kuna Equity, Tigo pesa na Serikali.Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.
Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au wakala tu nikadeposit for free?
Mambo ya mobile banking nilishaachanaga nayo kitamboLeo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.
Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au wakala tu nikadeposit for free?
Kwanini mtakatifu?Mambo ya mobile banking nilishaachanaga nayo kitambo