Mimi ada nimeona lakini nikawa interested zaidi kujua staff walionao na qualifications zao naona hawajawekaHabarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Hilo ni kosa la kiufudi kwa credibility ya chuo watu kwenda kusoma hawaangalii ada tu na course pekee
Eneo la staff ni muhimu kufanya maamuzi ya mtu aombe kusoma au la
Waweke