H HARVESTER JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 287 Reaction score 243 May 12, 2013 #1 Wakuu nina interest ya kujiendeleza zaidi ktk mambo ya diplomasia ya uchumi, nina masters ya biashara, Ninaomba kwa anayefahamu ada kwa post graduate diploma ni shilingi ngapi anisaidie kwani kwenye mtandao wao hawajaonyesha, thnx!
Wakuu nina interest ya kujiendeleza zaidi ktk mambo ya diplomasia ya uchumi, nina masters ya biashara, Ninaomba kwa anayefahamu ada kwa post graduate diploma ni shilingi ngapi anisaidie kwani kwenye mtandao wao hawajaonyesha, thnx!