Ada ya post graduate diploma za chuo cha diplomasia kurasini

Ada ya post graduate diploma za chuo cha diplomasia kurasini

HARVESTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
287
Reaction score
243
Wakuu nina interest ya kujiendeleza zaidi ktk mambo ya diplomasia ya uchumi, nina masters ya biashara, Ninaomba kwa anayefahamu ada kwa post graduate diploma ni shilingi ngapi anisaidie kwani kwenye mtandao wao hawajaonyesha, thnx!
 
Back
Top Bottom