Adaiwa kumuua mumewe kwa kumvuta sehemu za siri

hee hao ni wa wapi? yaani nickie kiu na maji halali yangu bado ninywe kwa kuyavizia? ni swala la kusema nina kiu nahitaji maji......
 
hee hao ni wa wapi? yaani nickie kiu na maji halali yangu bado ninywe kwa kuyavizia? ni swala la kusema nina kiu nahitaji maji......

Hahahaha Nyamayao huyo wa kijijini wewe unafikiri ni wote wenye kiu wanaubavu wa kuomba maji sio wote kwa taarifa yako.
 
hee hao ni wa wapi? yaani nickie kiu na maji halali yangu bado ninywe kwa kuyavizia? ni swala la kusema nina kiu nahitaji maji......

Chimba kisima chako mwenyewe.....hehehMrs unaifurahisha kweli
 
hee hao ni wa wapi? yaani nickie kiu na maji halali yangu bado ninywe kwa kuyavizia? ni swala la kusema nina kiu nahitaji maji......

Hehehe sasa kaka unamfundisha awe anaenjoy na houseboy baada ya mzee kuchoka?

haha hapana komredi nilikuwa namaanisha amechimba kisima chake mwenyewe kama anavotuambia mchungaji/mtumishi wa Mungu Munishi hapa:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JxmvsDpM9YA&feature=related[/ame]
 
Nafikiri kabla ya kumuhukumu hakimu ake nae chemba amueleze sababu halisi
jamani kuna wanaume wasenzi kupita kiasi...mwanmke unakuta anavumilia kuondoka anashindwa siku ya siku anamaliza matatizo yaliokuwa yakimkumbuka marakwa mara kwa style hiyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…