Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Hehehe wengine wanachoka full kipupwe yaani masika mpaka masika kwa hiyo bila kulazimisha hupewi haki yako ya msingi lakini mimi naona ni bora yule anaye kuwa muwazi kuwa njaa inauma mzee hunitendei haki kama mzee ana safiri safiri sana anapunguza na kama analewa lewa ovyo ovyo anapunguza ili ampe wife haki yake nyumbani lakini wanawake wengi asipo anza mwanaume basi nae kimyaaaaaaaa anaanza kuugulia moyoni next anatoka nje ya ndoa baadae UKIMWI ndani ya nyumba.
hee hao ni wa wapi? yaani nickie kiu na maji halali yangu bado ninywe kwa kuyavizia? ni swala la kusema nina kiu nahitaji maji......