Adakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi maabara

Tatizo na hivi vijanafunzi vinatamaa sana bila huyo mwanafunzi kujilainisha kwa huyo mwalimu unathani uyo mwalimu angeweza kumgusa hata shati ukichunguza utakuta uyo mwanafunzi anapenda mambo makubwa wanafunzi wa skuizi mtihani sana
 
kitulike acha uongo jamaa, yani utembee na mwanafunz wa miaka 30 ushtakiwe? Sasa utashtakiwa kwa kosa gan? Mana kesi ya msing ni kubaka... Na sheria inasema ni under 16 ndo kubaka.. Ingawa pia sheria ya mtoto wa afrika inasema mtoto ni chn ya 18 yrs.. Sheria haisemi 'mwanafunzi' inasema 'mtoto'.. Inamtaja mwanafunzi kama 'utamtia mimba' lakn lazima awe under 18..

Sasa tukirudi kwenye kesi ya mwalimu huyu ni kwamba itabd umshtak kwa kosa la kubaka mana huyo dent hajatiwa mimba... Sasa kesi ya kubaka inamhusu under 16
 
wilaya gani hiyo ndugu
 
Walimu msipobadirika mtaishia ndani.

Mkumbuke John is watching you.
 
KESI ZA KIPUMBAVU SANA HIZI
Hivi mnadhani hao wanafunzi hawana N Y E G E ???
Ufaransa Ukifika miaka 15 unahesabiwa kama mtu mzima ila huku huku ni ujinga ujinga mtupu? kama kafanya mapenzi huyo mwanafunzi si ni hiyari yake?
Usipotoshe watu. Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kukubali mwalimu awe na uhusiano na mwanafunzi wa secondary au primary.
 
MWALIMU wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini hapa ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dhidi yake.


Mjini alipo kila msomaji wa habari hii au mji upi

Ofisa Elimu wa Wilaya, Christopher Sinkamba akizungumza alisema kwamba maamuzi hayo yamechukuliwa baada ya wananchi wengi kulalamika.


Meaning bila wananchi kulalamika basi hatua zisingechukuliwa dhidi ya mtuhumiwa, ni kama uongozi umelazimishwa kwakuwa binti ana miaka 16 na si kwamba ni mwanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…