Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wilaya gani hiyo ndugu![]()
MWALIMU wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini hapa ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dhidi yake.
Ofisa Elimu wa Wilaya, Christopher Sinkamba akizungumza alisema kwamba maamuzi hayo yamechukuliwa baada ya wananchi wengi kulalamika. Sinkamba alisema mwalimu anayehusika ametambuliwa kama Raphael Mwape na kwamba sasa anasubiri hatua za kinidhamu dhidi yake.
Alisema kwamba utawala wa shule ulifikisha suala hilo Polisi lakini walishindwa kumshtaki kwa tuhuma za kubaka kwa kuwa binti huyo ni zaidi ya miaka 16. Na wakati alipoulizwa swali kwanini mwanafunzi huyo wa kike ametimuliwa shule, ofisa huyo alisema kwamba hawajamfukuza lakini walilazimika kumhamisha shule kutokana na sheria za shule hiyo.
Ilielezwa kuwa tukio hilo lilifanyika saa 12 jioni ambapo Mwape alionwa na mabinti wengine wawili wa shule hiyo akifanya mapenzi na binti huyo katika maabara B ya shule hiyo. Mwanafunzi huyo alisema kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa mwalimu huyo kumuingilia na kwamba siku hiyo alilazimika kufanya hivyo baada ya kushinikizwa na mwalimu aliyemuita wakati akirejea bwenini. Alisema pamoja na kukataa kwake alimshinikiza kwa kudai kuwa alikuwa amemgharamia sana. Mwalimu huyo ana mke.
Chanzo: Habari leo
Usipotoshe watu. Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kukubali mwalimu awe na uhusiano na mwanafunzi wa secondary au primary.KESI ZA KIPUMBAVU SANA HIZI
Hivi mnadhani hao wanafunzi hawana N Y E G E ???
Ufaransa Ukifika miaka 15 unahesabiwa kama mtu mzima ila huku huku ni ujinga ujinga mtupu? kama kafanya mapenzi huyo mwanafunzi si ni hiyari yake?
MWALIMU wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini hapa ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dhidi yake.
Ofisa Elimu wa Wilaya, Christopher Sinkamba akizungumza alisema kwamba maamuzi hayo yamechukuliwa baada ya wananchi wengi kulalamika.
Siyo tanzania"Hajashitakiwa sababu binti ana umri wa zaid ya miaka 16"
Si kwel hata km angekua na miaka 30 kumuingilia mwanafunz ni kosa kisheria
shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini hapa
Hahahahaaa! Ulikuwa unapendelea picha ipi boss? Picha ya Mkuu wa shule, maabara ya biology au picha ya Wilaya nzima?Weka picha ....