Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
[emoji3] [emoji3]
Sera ya elimu inamtambua mwanafunzi umri ni kitu kingine, fikiria uliposoma Shule boarding wanafunzi ambao walikuwa wapo form one wengine walikuwa na age ya miaka 19(hasa waliotokea vijijini) ndio mwanzo form one. Mahakamani atakutana na sheria zotekitulike acha uongo jamaa, yani utembee na mwanafunz wa miaka 30 ushtakiwe? Sasa utashtakiwa kwa kosa gan? Mana kesi ya msing ni kubaka... Na sheria inasema ni under 16 ndo kubaka.. Ingawa pia sheria ya mtoto wa afrika inasema mtoto ni chn ya 18 yrs.. Sheria haisemi 'mwanafunzi' inasema 'mtoto'.. Inamtaja mwanafunzi kama 'utamtia mimba' lakn lazima awe under 18..
Sasa tukirudi kwenye kesi ya mwalimu huyu ni kwamba itabd umshtak kwa kosa la kubaka mana huyo dent hajatiwa mimba... Sasa kesi ya kubaka inamhusu under 16
ya papuchi au!Weka picha ....
Haya bwana yaani umuingizie mwanangu/mdogo wangu alafu useme teaching allowance wallah patachimbika.
Akili fupi mgoloko wwe angekuwa binti yako amefanyiwa hivyo ungeandika utumbo huu? afu mataahila wenzio wanalike ....... nonsense!KESI ZA KIPUMBAVU SANA HIZI
Hivi mnadhani hao wanafunzi hawana N Y E G E ???
Ufaransa Ukifika miaka 15 unahesabiwa kama mtu mzima ila huku huku ni ujinga ujinga mtupu? kama kafanya mapenzi huyo mwanafunzi si ni hiyari yake?
Kumuingilia mwanafunzi Mwenye umri chini ya miaka 18 tu Kwa sababu hata wa vyuo vya ufundi na vikuu ni wanafunzi pia lkn wanaruhusiwa hadi kuolewa."Hajashitakiwa sababu binti ana umri wa zaid ya miaka 16"
Si kwel hata km angekua na miaka 30 kumuingilia mwanafunz ni kosa kisheria
Tumia lugha moja ueleweke, Kiingereza chenyewe hujui.Vijana wengi sana huwa tunafikiri tutakuja acha tabia ya kulala na wasichana wengi Mara tu tukijaoa when you still thinks about it...probably you are wrong....Na ndio maana unasikia michepuko lakini well mature Man ni yule committed to his wife na discipline ana impact kwa hadi watoto wake anatengeneza Generation ya Men and Women na cyo Boyish and Girls
Sent using Jamii Forums mobile app