Adakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi maabara

Adakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi maabara

kitulike acha uongo jamaa, yani utembee na mwanafunz wa miaka 30 ushtakiwe? Sasa utashtakiwa kwa kosa gan? Mana kesi ya msing ni kubaka... Na sheria inasema ni under 16 ndo kubaka.. Ingawa pia sheria ya mtoto wa afrika inasema mtoto ni chn ya 18 yrs.. Sheria haisemi 'mwanafunzi' inasema 'mtoto'.. Inamtaja mwanafunzi kama 'utamtia mimba' lakn lazima awe under 18..

Sasa tukirudi kwenye kesi ya mwalimu huyu ni kwamba itabd umshtak kwa kosa la kubaka mana huyo dent hajatiwa mimba... Sasa kesi ya kubaka inamhusu under 16
Sera ya elimu inamtambua mwanafunzi umri ni kitu kingine, fikiria uliposoma Shule boarding wanafunzi ambao walikuwa wapo form one wengine walikuwa na age ya miaka 19(hasa waliotokea vijijini) ndio mwanzo form one. Mahakamani atakutana na sheria zote
 
walikuwa wakifanya jaribio la kisayansi nini?? Hahaha tamaa mbaya acha ashtakiwe tu
 
Nyongeza ya mshahara hakuna, increment hakuna, semina hakuna malipo ni hapahapa duniani , ameamua kujilipa increment ya Massa ya ziara extra duty
 
KESI ZA KIPUMBAVU SANA HIZI
Hivi mnadhani hao wanafunzi hawana N Y E G E ???
Ufaransa Ukifika miaka 15 unahesabiwa kama mtu mzima ila huku huku ni ujinga ujinga mtupu? kama kafanya mapenzi huyo mwanafunzi si ni hiyari yake?
Akili fupi mgoloko wwe angekuwa binti yako amefanyiwa hivyo ungeandika utumbo huu? afu mataahila wenzio wanalike ....... nonsense!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha akanyeee, debe ndiyo atatambua kuwa papuchi haijawahi kumuacha mtu yeyote akiwa salama asipokuwa na hekima.
 
Hawa walimu wa sayansi wasikuizi wamekuaje sijui yaan wanawalaghai wanafunzi kuwafundisha vipindi vya ziada na ndo humohumo wanatongozwa ilizoeleka kwa walimu wa arts lakin sahv duh !!!! Ukiona mwanao anasema anavipindi jion mchunguze sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Ni Upumbavu tena ni upumbavu yan kisa ana miaka zaidi ya 16 basi eti ndo mwalimu haishtakiwe?
hapa kuna namna na inaonesha mwenye shule kaonga ili jina la shule lisichafuke mwanafunz n mwanafunz hata awe na miaka 30 kama yupo elimu ya chini na sio chuo mwalimu anapaswa kuchukuliwa sheria daah hv Tanzania tunakwenda wapi???

Zanzibar ukutwe na binti wa watu tena hasomi mazali yupo kwenye uwangalizi wa wazaz wake police inakuhusu tena inakuhusu .

jaman tunakwenda wapi?
kumbe hizi sheria zipo kwa baadh ya watu tu?
hizo ckul za st theresa sio St nan wanafunz wanafanyiwa maovu mno na walimu.

Serikali imkamate uyo mwalimu
 
"Hajashitakiwa sababu binti ana umri wa zaid ya miaka 16"
Si kwel hata km angekua na miaka 30 kumuingilia mwanafunz ni kosa kisheria
Kumuingilia mwanafunzi Mwenye umri chini ya miaka 18 tu Kwa sababu hata wa vyuo vya ufundi na vikuu ni wanafunzi pia lkn wanaruhusiwa hadi kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wengi sana huwa tunafikiri tutakuja acha tabia ya kulala na wasichana wengi Mara tu tukijaoa when you still thinks about it...probably you are wrong....Na ndio maana unasikia michepuko lakini well mature Man ni yule committed to his wife na discipline ana impact kwa hadi watoto wake anatengeneza Generation ya Men and Women na cyo Boyish and Girls

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia lugha moja ueleweke, Kiingereza chenyewe hujui.
 
Back
Top Bottom