Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

Pete! inaweza kuwa urembo wa kawaida au la ndio zile za mifupa ya Albino hata Bosi wake alikuwa anavaa naona siku hizi hana

alivuliwa na yule mnigeria wa scoan"TB joshua"........mjini shule!
 
si miushilikina hiyo kasoma lakini asiri yake aachi baba yake alikuwa msomi naye alikuwa amezungukwa na waganga
 
Yemwenyewe malima anakokwenda hakujui sembuse kutufikisha sisi, pale hakuna kitu ni udini kwa kwenda mbele , hayo mapete ni maelekezo toka kwa mashehe.
 
Simple mind discusses people, ordinary mind discusses events, but great mind discusses idea.
Bravo!

Hebu tumia akili wewe,hii ni ukurusa wa kuwazungumzia Celebrities kwahiyo ku-discuss personal issues za hawa celebrities ndio ukurasa wake halali kabisa....acha unoko,nenda forum ya siasa basi.....
 
Hebu tumia akili wewe,hii ni ukurusa wa kuwazungumzia Celebrities kwahiyo ku-discuss personal issues za hawa celebrities ndio ukurasa wake halali kabisa....acha unoko,nenda forum ya siasa basi.....
Yeye anadhani kila forum inaongelea mambo ya uchambuzi tu. Hajui kuna forums za kupumzisha akili kama hizi.
 
si mzaramo huyu kwa misifa hawa. Huwa wanasema mzaramo akizaliwa tu form six.
 
si mzaramo huyu kwa misifa hawa. Huwa wanasema mzaramo akizaliwa tu form six.

Nachojua mim,mwalim nyerere hakuvaa pete ila alikuwa na kifimbo ambacho kwa categories za uganga ni uganga wa ndumba,lakin wale wanaotumia uchawi wa pwani huvaa pete,mkapa huwa anavaa,kikwete huwa anavaa,mwinyi sijamuona,lakin hata Mizwngo pinda huwa anavaa tena ina kidani cheusi,ya kikwete ina kidani cha kijani,hata mim navaa pete ina kidani cha kijani,zina maana kwa wanao vaa,kikubwa ni kutengeneza uhusiano flan na majini,hata wazungu huvaa pete,wahindi na waarabu ndo usiseme..kwa malima pete yenye maana ni moja tu zingine ni mbwembwe tu....
 
Watajiju na mipete pete yao. lakini labda inawasaidia.
 
Mapedeshea au watoto wa mujini mbona nao wanavaa mipete,akina Young Millionea,Chuma cha Reli.Mtoto wa Mbuzi ah wa ndama na kadhalika nakadhalika ,pia kuna wengine maarufu ambao walikuwa wanawatabiria watu vifo walikuwa wanavaa na wametangulia mbele ya haki,hiyo mijipete na mijinyororo ni uchafu tu,sijui wakienda chooni wanachamba vipi si hiyi mipete inakuja na uchafu
 
Tehe tehe teheeee! Naunga mkono hoja.
 
Tehe tehe teheeee! Naunga mkono hoja.
Mfianchi...chiooni huwa toilet paper ndio inatumika kutoa uchafu,au wewe unayapasa pasa masaburi yako na vidole vyako???...Malima kuvaa mapete mengi kwa mshima yake waziri sio ustarabu....mablingbling kama hayo huwa wanava watu kama Entertainers,wauza unga,waganga wa jadi..n.k
 
kaka kwani wote twatumia maji???sie kwetu songea twajisugua kwenye jiwe kwani bei ya toilet paper tutaiweza wapi na ufisadi huu!!!!!!!!!!
 
Yale mapete wanayoenda kuvaa baada ya kusomewa na kukabidhiwa majini ni ushirikina mwingine ambao wafanya biashara wengi na wanasiasa wanaona fahari kuushiriki.
 
Naomba mwongozo wako, ni mambo gani ya celebrities yanatakiwa yajadiliwe.
 
Naunga mkono hoja kwa 100% ijadiliwe kwa umakini....
 
si watu wa bara hatunaga hayo mambo ya mapete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…