MR. DRY
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 637
- 122
Pete! inaweza kuwa urembo wa kawaida au la ndio zile za mifupa ya Albino hata Bosi wake alikuwa anavaa naona siku hizi hana
alivuliwa na yule mnigeria wa scoan"TB joshua"........mjini shule!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pete! inaweza kuwa urembo wa kawaida au la ndio zile za mifupa ya Albino hata Bosi wake alikuwa anavaa naona siku hizi hana
wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu adam malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
Au ana maana gani kufanya vile?
Yemwenyewe malima anakokwenda hakujui sembuse kutufikisha sisi, pale hakuna kitu ni udini kwa kwenda mbele , hayo mapete ni maelekezo toka kwa mashehe.wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?
Simple mind discusses people, ordinary mind discusses events, but great mind discusses idea.
Bravo!
Yeye anadhani kila forum inaongelea mambo ya uchambuzi tu. Hajui kuna forums za kupumzisha akili kama hizi.Hebu tumia akili wewe,hii ni ukurusa wa kuwazungumzia Celebrities kwahiyo ku-discuss personal issues za hawa celebrities ndio ukurasa wake halali kabisa....acha unoko,nenda forum ya siasa basi.....
si mzaramo huyu kwa misifa hawa. Huwa wanasema mzaramo akizaliwa tu form six.
Tehe tehe teheeee! Naunga mkono hoja.Mapedeshea au watoto wa mujini mbona nao wanavaa mipete,akina Young Millionea,Chuma cha Reli.Mtoto wa Mbuzi ah wa ndama na kadhalika nakadhalika ,pia kuna wengine maarufu ambao walikuwa wanawatabiria watu vifo walikuwa wanavaa na wametangulia mbele ya haki,hiyo mijipete na mijinyororo ni uchafu tu,sijui wakienda chooni wanachamba vipi si hiyi mipete inakuja na uchafu
Mfianchi...chiooni huwa toilet paper ndio inatumika kutoa uchafu,au wewe unayapasa pasa masaburi yako na vidole vyako???...Malima kuvaa mapete mengi kwa mshima yake waziri sio ustarabu....mablingbling kama hayo huwa wanava watu kama Entertainers,wauza unga,waganga wa jadi..n.kTehe tehe teheeee! Naunga mkono hoja.
kaka kwani wote twatumia maji???sie kwetu songea twajisugua kwenye jiwe kwani bei ya toilet paper tutaiweza wapi na ufisadi huu!!!!!!!!!!Mapedeshea au watoto wa mujini mbona nao wanavaa mipete,akina Young Millionea,Chuma cha Reli.Mtoto wa Mbuzi ah wa ndama na kadhalika nakadhalika ,pia kuna wengine maarufu ambao walikuwa wanawatabiria watu vifo walikuwa wanavaa na wametangulia mbele ya haki,hiyo mijipete na mijinyororo ni uchafu tu,sijui wakienda chooni wanachamba vipi si hiyi mipete inakuja na uchafu
Naomba mwongozo wako, ni mambo gani ya celebrities yanatakiwa yajadiliwe.Pasonoishu!!!!!!!!!!!! Sipendi kuona watu wanajadiri mambo binafsi ya watu kwa mfano.
1. Adamu malima kavaa pete
2. Dr slaa na ndoa yake
3. Kikwete anaoa kisiri siri
4. Ezan anatembea na FaizaFox so what?
Jamani vitu kama hivi siyo vya kuvijadiri humu
wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje hapo,je?mtu kama huyu anaweza kutufikisha tunakokwenda?
au ana maana gani kufanya vile?