Sijui kwa nini uwezi wa wananchi wetu kufikir ni mdogo hivyo....
Kuna link kibao ukipress zinashare mambo kama hayo kwenye profile yako.....
Kuchafuliwa sio huko wanakosema eti "picha za uchi"
I love both of them..Jide & Mchomvu...fanyeni kazi bhana...