Adam Mchomvu amchafua Lady Jay Dee

Adam Mchomvu amchafua Lady Jay Dee

jamani tuache kuukana.MUNGU HAPENDI
 
clouds na nguruwe waake wote wanaweweseka sana aisee!

Shenzi type zao wote. Wamuache JIDE afanye mambo yake!

Ruge iko siku atakuja kumkumbuka huyu mpambanaji and it will be too late.....


Mkuu usifananishe nguruwe na hawa malofa
 
Sijui kwa nini uwezi wa wananchi wetu kufikir ni mdogo hivyo....
Kuna link kibao ukipress zinashare mambo kama hayo kwenye profile yako.....

Kuchafuliwa sio huko wanakosema eti "picha za uchi"

I love both of them..Jide & Mchomvu...fanyeni kazi bhana...
 
Back
Top Bottom