Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

jamaa mshamba sana huyo
 
Anapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanic
 
😂😂😂😂😂 kupigwa kutaka kwani huna miguu ukakimbia. Adam anazingua hasa kwenye swala la kula moshi mpka watu wanajua sio tabia bzuri kwa jamii zetu alafu clouds ni brand nzito anaiaibisha kwa kuamini anauwezo sana kumbe mambo mengine ni bahati tu
 
Anapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanic
Hata hvyo wavuta mibangi ni kama masai wanabadilika muda wowote

Mfano mmasai mnaweza mkacheza draft ukimfunga sana unashangaa anatoa panga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…