Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Naona Adam kafunga Comments Insta [emoji1],
Kajua kuwakomesha wakulungwa wazee wa vichambo
 
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha/Kupreview Album yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.

Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,



View attachment 2551144View attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Siku akienda kwenye interview Zola d au kalapina awapige makofi, aone Moto wa tipa wa Zola d, kikosi Cha mizinga kalapina, anachagua wa kuwapiga makofi.
 
Back
Top Bottom