Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,158
daaah mkuu umenichekeshaUnaweza kukuta yeye ndiye mmiliki wa hiyo Clouds!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah mkuu umenichekeshaUnaweza kukuta yeye ndiye mmiliki wa hiyo Clouds!
Hujatuma namba chief
Bwashee hii dunia ina Siri nyingi Sana!daaah mkuu umenichekesha
Shemeji zangu na wakwe mna hasira sana havaeKwamba Q Chilla ndo alijifanya mganga au alimuita Adam kuwa ni mganga? 🤣
Anyway wapare huwa ndio tuko hivyo hatupendagi dharau! Yani ukitaka kujua balaa la mpare kuwa msema hovyo halafu uvuke mipaka ndio utajua. 😀
kabisa mkuu hawezekani jamaa anakong'ota wanzie kila siku ukute ndio boss wa cloud kweli Kusaga kawekwa tu AdamuBwashee hii dunia ina Siri nyingi Sana!
Siku akienda kwenye interview Zola d au kalapina awapige makofi, aone Moto wa tipa wa Zola d, kikosi Cha mizinga kalapina, anachagua wa kuwapiga makofi.Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha/Kupreview Album yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.