Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha.
Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu stahiki basi inamaanisha aidha anafanya upuuzi wake kwa baraka za uongozi wake ama ni mkubwa mno kuliko uongozi wake.
Kitendo cha kumpiga mgeni mualikwa katika kipindi kunaonyesha picha mbaya mno kwa Taasisi nzima ya Clouds Media Group.
Adam sio mtoto tena na kama umaarufu ilipaswa awe ameshauzoea. Kuvuta bangi kusiwe sababu ya kujitoa ufahamu. Akiona bangi zinamfanya afanye matukio ya ovyo basi kuna haja akaacha kuvuta.
Na hao wanaoshambuliwa na Adam ni wakati nao sasa waache ujinga wa kukubali kupigwa kizembe. Piga nondo moja ya kichwa akili imkae sawa.