Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

Acheni kusingizia bangi,huyo jamaa anajua anachokifanya,nazan anajua kabisa ananafasi gani hapo clouds kifikia kupiga mtu bila kujali,
Pengine anaona ni host tegemeo,au aliishajiwekea mizizi ndani ya clouds kiasi anaweza fanya chochote muda wowote,na uongozi ukaona hakuna shida
 
Hilo jamaa nililitoa thamani lilipojamba likiwa hewani na kupost video mikamasi inamchuruzika.

Ukichunguza sana unaweza kuta ni li punga fulani linalotafuta mabwana kinguvu.

anajua kuwachagua wa kuwapiga pumbavu zake. Wale wanyonge.

adamu+mchomvu.png
Hovyo sana
 
You can say that again. Huyu jamaa anafidia madhaifu yake kutumia ubabe usiokuwa na tija.

Ukichunguza Adam Mchomvu halisi ni bwege fulani ambae ni dhaifu na muoga mno ndani ya nafsi yake.

Ni design ya watu wanaojihisi kuwa hawatoshi katika kila jambo kiasi cha kudhani akiwa mkorofi basi atakuwa relevant zaidi. Adam nammithilisha na members wa JF hapa ambao bila sababu maalum wanaweza wakaja na kuanzisha ugomvi na mtu. Hawa watu kiuhalisia sio wagomvi bali wanatafuta umuhimu kukwepa uhalisia wa maisha yao ya kipweke na yasiyokuwa na tija.

Ku prove kuwa Mchomvu ni dhaifu angalia watu anao wa attack, daima ni wale ambao anajua hawatoweza kujitetea. kama yeye mbabe sana kwanini hathubutu kumletea ukorofi Ney wa Mitego, anajua atadundwa. Pia ana attack watu wasiokuwa na relevance kubwa maana anajua hakutokuwa na consequences, kama yeye chizi sana mbona hamzabi makofi Diamond au Ali Kiba, anajua fika ndio itakuwa mwisho wake.

In a nutshell the dude suffers from Inferiority complex, ndani ya moyo wake na nafsi yake anajiona ni takataka na anafanya kila jitihada kujipa thamani kwa mgongo wa bangi na kufanya upuuzi kwa kisingizio cha bangi.
Deep down he is a lonely weak irrelevant little scared bitch.
[emoji817][emoji3581]
 
Hilo jamaa nililitoa thamani lilipojamba likiwa hewani na kupost video mikamasi inamchuruzika.

Ukichunguza sana unaweza kuta ni li punga fulani linalotafuta mabwana kinguvu.

anajua kuwachagua wa kuwapiga pumbavu zake. Wale wanyonge.

adamu+mchomvu.png
Mmmmmh
 
Back
Top Bottom