Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

Acheni kusingizia bangi,huyo jamaa anajua anachokifanya,nazan anajua kabisa ananafasi gani hapo clouds kifikia kupiga mtu bila kujali,
Pengine anaona ni host tegemeo,au aliishajiwekea mizizi ndani ya clouds kiasi anaweza fanya chochote muda wowote,na uongozi ukaona hakuna shida
 
[emoji817][emoji3581]
 
Hilo jamaa nililitoa thamani lilipojamba likiwa hewani na kupost video mikamasi inamchuruzika.

Ukichunguza sana unaweza kuta ni li punga fulani linalotafuta mabwana kinguvu.

anajua kuwachagua wa kuwapiga pumbavu zake. Wale wanyonge.

Mmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…