Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mchomvu na Fetty...Ni kati ya watangazaji wanaojitambua sana since way backMtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.
Strategist wa lumumba aliwaingiza chaka.Madhara ya kuwabana wapinzani ni kuzalisha vyama vya upinzani vya kujitegemea maelfu
Haaahaa 😂 😆 ni kama kuzuia mafuriko kwa mikono.Madhara ya kuwabana wapinzani ni kuzalisha vyama vya upinzani vya kujitegemea maelfu
Bora wangewaacha chadema wakomae wenyewe wananchi wangetegea wakijua Wanao watu wakuwapambaniaHaaahaa 😂 😆 ni kama kuzuia mafuriko kwa mikono.
Badala ya changamoto hizo kushughulikiwa, mkaahidiwa kuletewa Anorld Schwarzenegger. 🙆Njoo Arusha, barabara za mitaa ni mbovu kupita maelezo. Hakuna mtaa wenye barabara nzuri Arusha hata moja.
1. Serikali inamiliki milima ya moram.
2. Serikali ina magari yakupeba michanga, heavy equipment kwaajili ya ujenzi, lakini pia ina madereva.
3. Kwanini wasitenge bajeti ndogo kuboresha hizi barabara? Mbona ni issue ndogo sana?
4. Unakuta mbunge, mkuu wa wilaya etc, wanapita kwenye barabara hizi mbovu miaka na miaka, unajiuliza hawaoni? Shida ni nini hasa? Uvivu wakupindukia?
5. Lakini pia viongozi wa juu, wanaona lakini wanakaa kimya, vitu vingine wala si tatizo la pesa lakini hakuna anayejali?
6. Viongozi wa mitaa Tanzania na Arusha specifically mmechanganyikiwa? Nyie ni majuha? Hamuwezi kumobilize resources sasa mnaenda ofisini kufanya nini?
Unatengeneza WAPINZANI wengii sio sirii...Bora wangeiachia chadema..Bora wangewaacha chadema wakomae wenyewe wananchi wangetegea wakijua Wanao watu wakuwapambania
Hata watoto wakibaki yatima Huwa wanaacha kubweteka wanatoka kitaa kupambana kupata namna ya kuishi kufa ama kuponaUnatengeneza WAPINZANI wengii sio sirii...Bora wangeiachia chadema..
Raia wengi wange itegea wakijua kazi ya upinzani ni ya CHADEMA pekeee..
Habari za maandamano ya ubalozi wa vatican shekhe, naskia ulipokaribishwa makange ya kitimoto ulitokomea kama upepoEnyi Vilaza sifa za kodi haina
Quid pro quo
Yaani kama kuna moto mwengine zaidi ya huu sijui niseme nini 😭😭😭 maana tunabatizwa kwa moto deileee.Ni Tanzania pekee tutafika jehanamu huko motoni tukiwa tumechoka sana!, Mungu atusamehe tu hata dhambi zetu tabu tuliyopata huku duniani inatosha kabisa kutuadhibu.
Mnataka wachezaji wa taifa wasilipwe,wacheze bure tu,mbona nyinyi hamjitolei walau kusafisha barabara na mitaa?Bora wangewaacha chadema wakomae wenyewe wananchi wangetegea wakijua Wanao watu wakuwapambania
Enyi Vilaza sifa za kodi haina
Quid pro quo