akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Kilaza ni samuya alipata D moja tuu tena ya kiswahili matokeo ya form 4!
Enyi Vilaza sifa za kodi haina
Quid pro quo
Enyi Vilaza sifa za kodi haina
Quid pro quo
Yeah kabisa, sema mahala walipo ndio salama. Tunaijua media ileMchomvu na Fetty...Ni kati ya watangazaji wanaojitambua sana since way back
anauhakika kazi za nje ya kazini zitamuwezesha kuishi? Au amesahau aliyeteuliwa kusimamia wizara yao ni nani kwao?Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.
Kuna wakati saa mbovu inasema kweliMtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.