Adam Mchomvu: Mimi kodi yangu asipewe mchezaji, Barabara mbovu, wagonjwa hawana dawa

anauhakika kazi za nje ya kazini zitamuwezesha kuishi? Au amesahau aliyeteuliwa kusimamia wizara yao ni nani kwao?
 
Very well articulated baba joining.
Yani maji hakuna Barbara mbovu umeme bei just duniani tunaongoza halafu kodi anaenda kupewa msuva
 
Kuna wakati saa mbovu inasema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…