Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Wapo wanawachana team kingkibaka na team maex wa Diamond now XXL. Wacheni ujinga nyiee!
 
XXL wanaongea nini hao?

wanaongelea hii ishu ya kumnyima kura Diamond na kumpigia Davido kwa sababu ya utimu, wameongelea kwa mda mrefu na wanaalika maoni ya watu mbalimbali, bado wanaendelea. Walitaka kuongea na Wema na Alikiba ili waongee na watu wao ila namba zao hazipatikan
 

Nili ingia baada kusikiliza kidogo huyo petit man kweli ndio maana wema yuko hivyo na hatabadilika na hawezi kubadilika alichoongea ni hakina maana anazunguka tu. Nae ana mat.usi sana kwenye social media anapenda timu yao kama mwenzake sijui mpenzi wake sijui swahiba khaaaaa
 

Petiti si yuko na Dada wa Platnum??
 
Petiti si yuko na Dada wa Platnum??

Yes oo ila dada wa Platnumz na wema ukaribu umekufa sijui alifuma nini dada wa watu... Na wivu pia juu kwa dada kwa kuwa karibu na Zari wifi yake.

Hizi kazi za waume kufanya masaa 24 na mwanamke asie na bwana ni kazi....maana kila kona hao hata kupeleka mbwa vet hao, kunywa hao, kula nje hao, safari hao pamoja mke anabaki ka vike hakuolewa.

Sijui sasa nadhani petit amejirekebisha kiaina maana buti lilimuanza kumkwea kabla mamaa hajajifungua.

Aaagh ni mengi tunasoma wengine mitandaoni burudani tunacheka hatuzeeki, napita.
 
Ila kasema kuwa ni vizuri kupigia kura wa nyumbani na sio wa nje....huwa hamtaji Diamond...mmmmh

Nazan imefika mahali watanzania wote kwa Ujumla Tubadilike kuanzia Alik na Diamond wao wenyew kwa wenyew ili kutuwek Mashabik saw wafanye kitu kitakachofanya Mashabik waungane na Kuona hakuna Tofauti yeyote kati yao.....
 
Hivi nyimbo za lady jaydee nazo sio za mtanzania eehh?,nyimbo za akina wizkid, TI, flava, psquare ni za watanzania?
Huu uzalendo clouds wanaouhubiri ni UPI? Jide ni mtanzania wamemsusa miaka tena na bifu la kumshusha juu ila Leo kisa diamond ndio uzalendo wanauibua??
Kama uzalendo anzeni na jide kwanza ndo twende MTVmama.
 

Jide si alisema mwenyewe wasipige nyimbo zake, ungekuwa we mwenye redio ungepiga?
 

Petit si gasho yule
 
kila zama na mfalme wake wabongo tuache fitna jamani walikuepo kina sugu profjay nawengine kibao zama zao zimeisha wamewapisha madogo sio vizuri kuwagombanisha wenzetu kisa team tena tuna vuka mipaka hata kuchafua jina la mrembo wa moyo wangu ninae mpenda hapa duniani ambaye ni TANZANIA so sad jamani shikamoo wa tz kwa kupenda tu vya watu hamjambo.
 
Nazan imefika mahali watanzania wote kwa Ujumla Tubadilike kuanzia Alik na Diamond wao wenyew kwa wenyew ili kutuwek Mashabik saw wafanye kitu kitakachofanya Mashabik waungane na Kuona hakuna Tofauti yeyote kati yao.....

Leo nimesikiliza interview za Alikiba na Diamond walizofanya na watu tofauti. Moja Alikiba alifanya na GlobalPublishers na nyingine alifanya na Spoorah, kwa upande wa Diamond alifanya na Spoorah. Ukiangalia hizo interview, kiukweli Alikiba ana roho fulani ya wivu wa kijinga. Na haya mabifu yote yeye ndiye kayaanzisha. Naomba yule aliye na muda apitie hizi interview, hakika kuna kitu atajifunza.

 
Jide si alisema mwenyewe wasipige nyimbo zake, ungekuwa we mwenye redio ungepiga?

Aisee nakupongeza sana kwa moyo wako safi wa kuwajibu hao vichaa. Mi siwezi.
Big up.
 
Walianza kuzidiss kwanza ndio bifu lilipopamba moto mwenyewe akasema km hawapigi poa tu na akifa wasimzike.

wapi walidiss mzee, unaushahidi? Jide alianza kulialia mtandaoni baada ya aliyekuwa 'mke wake' Gadna kutoka Cloudz na kupungua kwa promo aliyoizoea kila siku kwenye kipindi cha Jahazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…