Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
XXL wanaongea nini hao?
wanaongelea hii ishu ya kumnyima kura Diamond na kumpigia Davido kwa sababu ya utimu, wameongelea kwa mda mrefu na wanaalika maoni ya watu mbalimbali, bado wanaendelea. Walitaka kuongea na Wema na Alikiba ili waongee na watu wao ila namba zao hazipatikan
Nili ingia baada kusikiliza kidogo huyo petit man kweli ndio maana wema yuko hivyo na hatabadilika na hawezi kubadilika alichoongea ni hakina maana anazunguka tu. Nae ana mat.usi sana kwenye social media anapenda timu yao kama mwenzake sijui mpenzi wake sijui swahiba khaaaaa
Petiti si yuko na Dada wa Platnum??
Petiti si yuko na Dada wa Platnum??
Ila kasema kuwa ni vizuri kupigia kura wa nyumbani na sio wa nje....huwa hamtaji Diamond...mmmmh
Hivi nyimbo za lady jaydee nazo sio za mtanzania eehh?,nyimbo za akina wizkid, TI, flava, psquare ni za watanzania?
Huu uzalendo clouds wanaouhubiri ni UPI? Jide ni mtanzania wamemsusa miaka tena na bifu la kumshusha juu ila Leo kisa diamond ndio uzalendo wanauibua??
Kama uzalendo anzeni na jide kwanza ndo twende MTVmama.
Nili ingia baada kusikiliza kidogo huyo petit man kweli ndio maana wema yuko hivyo na hatabadilika na hawezi kubadilika alichoongea ni hakina maana anazunguka tu. Nae ana mat.usi sana kwenye social media anapenda timu yao kama mwenzake sijui mpenzi wake sijui swahiba khaaaaa
Nazan imefika mahali watanzania wote kwa Ujumla Tubadilike kuanzia Alik na Diamond wao wenyew kwa wenyew ili kutuwek Mashabik saw wafanye kitu kitakachofanya Mashabik waungane na Kuona hakuna Tofauti yeyote kati yao.....
Jide si alisema mwenyewe wasipige nyimbo zake, ungekuwa we mwenye redio ungepiga?
Aisee nakupongeza sana kwa moyo wako safi wa kuwajibu hao vichaa. Mi siwezi.
Big up.
Jide si alisema mwenyewe wasipige nyimbo zake, ungekuwa we mwenye redio ungepiga?
Walianza kuzidiss kwanza ndio bifu lilipopamba moto mwenyewe akasema km hawapigi poa tu na akifa wasimzike.
Wapo wanawachana team kingkibaka na team maex wa Diamond now XXL. Wacheni ujinga nyiee!