Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

kumbe na ww ndo walewale sasa kiba na diamond nani alianza kutoka mpaka yy kiba anufaike na hilo #Kebekebe
pwilo inaonekana unapenda sana battle, we waache waandike watakavyo kwani bundle umewanunulia ww, jiheshimu njoo kwenye uzi wetu kule
 
Last edited by a moderator:
Inatosha kwa leo

10403284_456188301217450_9108097579831562989_n.jpg

m naona tumpigie zaid kwenye best live act
 
Leo nimesikiliza interview za Alikiba na Diamond walizofanya na watu tofauti. Moja Alikiba alifanya na GlobalPublishers na nyingine alifanya na Spoorah, kwa upande wa Diamond alifanya na Spoorah. Ukiangalia hizo interview, kiukweli Alikiba ana roho fulani ya wivu wa kijinga. Na haya mabifu yote yeye ndiye kayaanzisha. Naomba yule aliye na muda apitie hizi interview, hakika kuna kitu atajifunza.

Wewe embu acha kudanganya watu kabla ya izo interview unazosema,Mondi wenu ndo alianza chokochoko ka mwanamke tena kwa mtu ambaye alitulia kwenye game na hakumfanya chochote,check hapo chini iyo screenshot ya uyo Mondi wenu akileta dharau zake na iyo ndio sababu iliyopelekea apigwe na MAYAI VIZA ile siku aliyopiga show pale MAISHA CLUB na vijana wa k.koo(kambi ya kiba) tena iyo ilikuwa kabla haja hit nje ya TZ,check mwenyewe hapo chini...na mjue kabisa kiba anapambana na mtu ambaye alirequest battle naye na sio kama mnavyosema nyie eti "Ooh!.. KIBA anashindana na mtu ambaye hajamfanya chochote kwa kumuangalia Mondi huwa hamuongeleagi kiba saivi so mnamuona ni completely innocent kumbe alishatemaga shit huko mwanzoni,eti anasema "kiba haniwezi kipesa wala kimuziki pia ameisha mziki wake hauna soko tena"...Nasema hapa tena kwa herufi kubwa "HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA KIBA ARUDI KWENYE GAME KUMPROVE WRONG MONDI".. alilianzisha menyewe alamfu mnasema KIBA ndo chanzo kivip?.. weka proof apo,maana mbali na anachokisema kiba kuhusu hiyo kufutwa kwa mistari yake lakini MONDI ameleta dharau nyingi tu,sasa kulikua na haja gani ya yeye kuropoka hayo yote hata kama kiba hakutaka kufanya collabo nae?...kwani lazima?...na kiba alikuwa na haki yakukataa kuimba naye maana MONDI angeibua KAULI kama "MIMI NDO NIMEMWINUA KIBA" maana kijana wenu anapenda sana sifa kama kipindi Kile alivyosemaga kaalikwa na P-SQUARE Kwenye harusi yao alafu baadae P-SQUARE wakakana kumualika wala kumjua mtu inaitwa diamond,na hata kama ni kweli kiba alikopa pesa ili ajenge nyumba yake(inamaana kumbe kiba anayo nyumba sio kama team Mondi mlivyozusha kuwa hana nyumba amepanga hili mkubali kwanza?) Yeye ilimuhusu nini kama sio umbea tena kwa mwanaume kama yeye?,KWA HIYO MTAMBUE YEYE NDO AMELIANZISHA HILO BIFU NA SIO KAMA MNAVYODHANI ETI KIBA HAWEZI TOKA BILA MONDI NA ANATAFUTA KIKI TUU KUPITIA MONDI...Hahaahaaa!!!!!
 
kiba zama zake zilishapita!' anaforce tu. *****.
 
m naona tumpigie zaid kwenye best live act

Hahaha! nimesha chafua huko kote wameniblock sa hvi! Hadi sasa hvi na a/c 50 zote kwa siku napiga kura 20*50=? unapata ngapi asipo chukua tunzo sina jinsi tena ya kumsaidia!
 
Nilisoma eti esma alimfuma petit anagegeda sebleni kwa mheshimiwa mbunge

Yaani na mie hivyo hivyo ila nikakosa tamko la Esma nikakuta wanamwambia angeacha ya ndani yakae ndani. Ila lazima iliuma sana ukitengemea kuzani mr yupo kazini kumbe kazi nyingi anafanya extra time na ile ya kumsukumia mashosti wamkeep busy pia loooooooo. Ila walizidi na ma picha yao huyo mwanamke nae hana adabu bila aibu anashinda kulilia waume wa watu kwenye TV na mali zao na huku pia anajaribu bado kuona kama Chibu atamrudia...mmmmh kituko kileeee khaaaaa
 
Wewe embu acha kudanganya watu kabla ya izo interview unazosema,Mondi wenu ndo alianza chokochoko ka mwanamke tena kwa mtu ambaye alitulia kwenye game na hakumfanya chochote,check hapo chini iyo screenshot ya uyo Mondi wenu akileta dharau zake na iyo ndio sababu iliyopelekea apigwe na MAYAI VIZA ile siku aliyopiga show pale MAISHA CLUB na vijana wa k.koo(kambi ya kiba) tena iyo ilikuwa kabla haja hit nje ya TZ,check mwenyewe hapo chini...na mjue kabisa kiba anapambana na mtu ambaye alirequest battle naye na sio kama mnavyosema nyie eti "Ooh!.. KIBA anashindana na mtu ambaye hajamfanya chochote kwa kumuangalia Mondi huwa hamuongeleagi kiba saivi so mnamuona ni completely innocent kumbe alishatemaga shit huko mwanzoni,eti anasema "kiba haniwezi kipesa wala kimuziki pia ameisha mziki wake hauna soko tena"...Nasema hapa tena kwa herufi kubwa "HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA KIBA ARUDI KWENYE GAME KUMPROVE WRONG MONDI".. alilianzisha menyewe alamfu mnasema KIBA ndo chanzo kivip?.. weka proof apo,maana mbali na anachokisema kiba kuhusu hiyo kufutwa kwa mistari yake lakini MONDI ameleta dharau nyingi tu,sasa kulikua na haja gani ya yeye kuropoka hayo yote hata kama kiba hakutaka kufanya collabo nae?...kwani lazima?...na kiba alikuwa na haki yakukataa kuimba naye maana MONDI angeibua KAULI kama "MIMI NDO NIMEMWINUA KIBA" maana kijana wenu anapenda sana sifa kama kipindi Kile alivyosemaga kaalikwa na P-SQUARE Kwenye harusi yao alafu baadae P-SQUARE wakakana kumualika wala kumjua mtu inaitwa diamond,na hata kama ni kweli kiba alikopa pesa ili ajenge nyumba yake(inamaana kumbe kiba anayo nyumba sio kama team Mondi mlivyozusha kuwa hana nyumba amepanga hili mkubali kwanza?) Yeye ilimuhusu nini kama sio umbea tena kwa mwanaume kama yeye?,KWA HIYO MTAMBUE YEYE NDO AMELIANZISHA HILO BIFU NA SIO KAMA MNAVYODHANI ETI KIBA HAWEZI TOKA BILA MONDI NA ANATAFUTA KIKI TUU KUPITIA MONDI...Hahaahaaa!!!!!

Mkuu samahani, hapa hatupo kwenye jukwaa la siasa wala mdahalo, hapa ni ushahidi usiotia shaka. Tafadhali tuwekee ushahidi hapa, ushahidi wa video, audio au screenshot kutoka kwenye verified social network profile ya Diamond Platinumz. Siku nyingine jaribu kuwa na heshima walau hata kidogo, mimi si mtu wa kuniletea screenshot za Udaku Specially, jichunge na jiheshimu. Nimekuwekea links za videos na siyo screenshot za udaku specially, so kama una ushahidi wa video then uweke hapa wote tumuone Diamond akiongea hayo maneno.
 
Utajiju maana nilikuwa siju hata unaninoti humu...lol

hahaha nikunote umekuwa celeb kama wema a.k.a mbunge ajaye (najua hupendi kusikia ubunge wa madame ila itabidi uvumilie tu)... kujijua najijua sana tu manake binadam yeyote bila kujijua basi hajakamilika. bye for this year..
 
Back
Top Bottom