Adam mchomvu nae amekuwa msanii siku hizi au ndio kubeba na kwa office?

Adam mchomvu nae amekuwa msanii siku hizi au ndio kubeba na kwa office?

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
7e58e9bc649c5fa6191cf286ec6393a7.jpg

Triple A
 
Jamaa anajua,hata akitangaza yuko poa,ana swaga za kivyake
 
Kosa walilofanya clouds group n kum devalue Adam mchomvu. Adam alipaswa awe na kipindi chake cha kila siku. Bongo fleva & top 20 wamemnyang'anya.

Adam siyo kuwa chini ya B12. Adam siyo was kumpa dakka 15 ktk xxl. Eti back up ya b12 kale kadogo kazee kakupuyanga.

Namshangaa sana Majizo kwann hambebi Adam, anzisheni show mchana ya fleva. Adam atakufaa hata kwenye stage na matamasha. Hao wakina swebe swaga zimeisha.

Pray for Lisu
 
word

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
 
Adam, Mi napenda vituko vyake. Jamaa anaweza fanya kituko mkabaki mnacheka tu hata kama mlikuwa bored.

Jamaa ni Malt talented. Ni Mtangazaji, Mchoraji, Msanii na pia Comedian.

chipa GM, Adam Mchomvu akihama Cloudsfm anaweza asivume. Historia inaonyesha Watangazaji wengi wanaohama radio na kwenda nyingine huwa hawavumi tena.
So nashauri andelee kubaki hapohapo. Ila apewe kipindi kizima cha mchana kama ilivyokuwa Bongoflava J.mosi.

Naona B12 yupo serious sana. Bora na Mammy Baby.
 
Yaani Wewe hujui kuwa ukiachia mbali Yeye kuwa Radio Presenter lakini pia ni Mwanamuziki na hadi ameshatoa baadhi ya Nyimbo zake? Tena ni Mwanamuziki mzuri tu. Ukiachilia mbali ' vituko ' vyake ambavyo sometimes ' vinaboa, kukera na kuudhi ' ila Adam Mchomvu ni very ' talented ' and ' creative ' sana hasa katika Entertainment industry nchini. Ninachompenda ana ' Confidence ' ya hali ya juu halafu anajua vile vile.
 
Back
Top Bottom