Adam mchomvu nae amekuwa msanii siku hizi au ndio kubeba na kwa office?

Kosa walilofanya clouds group n kum devalue Adam mchomvu. Adam alipaswa awe na kipindi chake cha kila siku. Bongo fleva & top 20 wamemnyang'anya.

Adam siyo kuwa chini ya B12. Adam siyo was kumpa dakka 15 ktk xxl. Eti back up ya b12 kale kadogo kazee kakupuyanga.

Namshangaa sana Majizo kwann hambebi Adam, anzisheni show mchana ya fleva. Adam atakufaa hata kwenye stage na matamasha. Hao wakina swebe swaga zimeisha.

Pray for Lisu
si kapewa soso fresh
 
well said brother
 
7e58e9bc649c5fa6191cf286ec6393a7.jpg

Triple A
Mbona tunapishana siku hizi kwema lkn
 
jamaa pia ni lyrical genius..anatunga nyimbo hapo hapo!! Ila clouds wanakosea kumfanya kama backup ya XXL.... ila he is OG in everything
Adam bangi Ndo zinamrudisha nyuma we sikiliza akija yeye tu kwenye kipindi anaanza kupiga makele Kama amewehuka kumpa hizo 15mins pia wamempendelea alitakiwa asiwepo kabisa xxl jamaa chenga sana Yule
 
Adam, Mi napenda vituko vyake. Jamaa anaweza fanya kituko mkabaki mnacheka tu hata kama mlikuwa bored.

Jamaa ni Malt talented. Ni Mtangazaji, Mchoraji, Msanii na pia Comedian.

chipa GM

Naona B12 yupo serious sana.

...ushawahi msikiliza Dullah kwenye Planet Bongo?
..dogo analeta ufaza kama radio ya baba'ake!
 
Adam, Mi napenda vituko vyake. Jamaa anaweza fanya kituko mkabaki mnacheka tu hata kama mlikuwa bored.

Jamaa ni Malt talented. Ni Mtangazaji, Mchoraji, Msanii na pia Comedian.

chipa GM, Adam Mchomvu akihama Cloudsfm anaweza asivume. Historia inaonyesha Watangazaji wengi wanaohama radio na kwenda nyingine huwa hawavumi tena.
So nashauri andelee kubaki hapohapo. Ila apewe kipindi kizima cha mchana kama ilivyokuwa Bongoflava J.mosi.

Naona B12 yupo serious sana. Bora na Mammy Baby.

B12 alifaa awe na Adamu. Wote wahost wote siyo Adam
...ushawahi msikiliza Dullah kwenye Planet Bongo?
..dogo analeta ufaza kama radio ya baba'ake!
Dulla famba yule, kipind anapatikan dulla kuna mzanzibar 1 angefaa ashinde yeye.

Planet bongo ilifariki na sallama
 
Adam bangi Ndo zinamrudisha nyuma we sikiliza akija yeye tu kwenye kipindi anaanza kupiga makele Kama amewehuka kumpa hizo 15mins pia wamempendelea alitakiwa asiwepo kabisa xxl jamaa chenga sana Yule
Adam ni mtangazaji mzuri sana, haboi kutokana na ucheshi wake n' alivyo creative sema nadhani hayuko serious enough kukabidhiwa kipindi cha maana kama mwendesha show, ni mtu wa masihara mengi. Sio mtu smart kama b12 ingawa kiutangazaji anamzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B12 alifaa awe na Adamu. Wote wahost wote siyo Adam

Dulla famba yule, kipind anapatikan dulla kuna mzanzibar 1 angefaa ashinde yeye.

Planet bongo ilifariki na sallama

Kuna mchizi mwingine yupo radio timez anaendesha The playlist, jamaa ana flow ya hatari sana, yani angekuwa anaandika mistari, angetisha kinyama.
 
Mnhh....wacha nipite...

Adam ni msanii!!?

Wacha madini yavushwe tu...lollzz!!
 
Back
Top Bottom