wordKosa walilofanya clouds group n kum devalue Adam mchomvu. Adam alipaswa awe na kipindi chake cha kila siku. Bongo fleva & top 20 wamemnyang'anya.
Adam siyo kuwa chini ya B12. Adam siyo was kumpa dakka 15 ktk xxl. Eti back up ya b12 kale kadogo kazee kakupuyanga.
Namshangaa sana Majizo kwann hambebi Adam, anzisheni show mchana ya fleva. Adam atakufaa hata kwenye stage na matamasha. Hao wakina swebe swaga zimeisha.
Pray for Lisu
Ahahahaha. Nilimsikia juzi analalamikia hilo suala. Wakati Alikiba masaa 38 views 1Million.Mzee wa figidi fiesita,,..sema nyimbo zake miezi mitatu viewers 1700 ndo naposhanga hapo sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ni OG, yani ni OG in everything kuanzia utangazaji, kwenye social networks, stejini hata nyimbo zake.my best presenter ever... B12 kwa adam anaachwa mbali sana! Adam nampenda bcoz hafeki life yuko OG
Sent using Jamii Forums mobile app
Triple A