Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
si kapewa soso freshKosa walilofanya clouds group n kum devalue Adam mchomvu. Adam alipaswa awe na kipindi chake cha kila siku. Bongo fleva & top 20 wamemnyang'anya.
Adam siyo kuwa chini ya B12. Adam siyo was kumpa dakka 15 ktk xxl. Eti back up ya b12 kale kadogo kazee kakupuyanga.
Namshangaa sana Majizo kwann hambebi Adam, anzisheni show mchana ya fleva. Adam atakufaa hata kwenye stage na matamasha. Hao wakina swebe swaga zimeisha.
Pray for Lisu
hahahahaha 1700 miezi mitatu?Mzee wa figidi fiesita,,..sema nyimbo zake miezi mitatu viewers 1700 ndo naposhanga hapo sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
well said brotherKosa walilofanya clouds group n kum devalue Adam mchomvu. Adam alipaswa awe na kipindi chake cha kila siku. Bongo fleva & top 20 wamemnyang'anya.
Adam siyo kuwa chini ya B12. Adam siyo was kumpa dakka 15 ktk xxl. Eti back up ya b12 kale kadogo kazee kakupuyanga.
Namshangaa sana Majizo kwann hambebi Adam, anzisheni show mchana ya fleva. Adam atakufaa hata kwenye stage na matamasha. Hao wakina swebe swaga zimeisha.
Pray for Lisu
wacha kulitumia vibaya hilo neno......nenda kamsome W.Dubois "talented tenth" ni watu gan?
Mbona tunapishana siku hizi kwema lkn
Triple A
Adam bangi Ndo zinamrudisha nyuma we sikiliza akija yeye tu kwenye kipindi anaanza kupiga makele Kama amewehuka kumpa hizo 15mins pia wamempendelea alitakiwa asiwepo kabisa xxl jamaa chenga sana Yulejamaa pia ni lyrical genius..anatunga nyimbo hapo hapo!! Ila clouds wanakosea kumfanya kama backup ya XXL.... ila he is OG in everything
Adam, Mi napenda vituko vyake. Jamaa anaweza fanya kituko mkabaki mnacheka tu hata kama mlikuwa bored.
Jamaa ni Malt talented. Ni Mtangazaji, Mchoraji, Msanii na pia Comedian.
chipa GM
Naona B12 yupo serious sana.
Adam, Mi napenda vituko vyake. Jamaa anaweza fanya kituko mkabaki mnacheka tu hata kama mlikuwa bored.
Jamaa ni Malt talented. Ni Mtangazaji, Mchoraji, Msanii na pia Comedian.
chipa GM, Adam Mchomvu akihama Cloudsfm anaweza asivume. Historia inaonyesha Watangazaji wengi wanaohama radio na kwenda nyingine huwa hawavumi tena.
So nashauri andelee kubaki hapohapo. Ila apewe kipindi kizima cha mchana kama ilivyokuwa Bongoflava J.mosi.
Naona B12 yupo serious sana. Bora na Mammy Baby.
Dulla famba yule, kipind anapatikan dulla kuna mzanzibar 1 angefaa ashinde yeye....ushawahi msikiliza Dullah kwenye Planet Bongo?
..dogo analeta ufaza kama radio ya baba'ake!
Ndio. Hata leo nimemsikiliza. Ngoja Ka Fifi kamfunike. Nae keshajiona amekuwa Legendary kwenye utangazaji....ushawahi msikiliza Dullah kwenye Planet Bongo?
..dogo analeta ufaza kama radio ya baba'ake!
Kwanini unasema hivyo?B12 alifaa awe na Adamu. Wote wahost wote siyo Adam
...sasa Dozen hana pigo hizo za ufaza!Ndio. Hata leo nimemsikiliza. Ngoja Ka Fifi kamfunike. Nae keshajiona amekuwa Legendary kwenye utangazaji.
Adam ni mtangazaji mzuri sana, haboi kutokana na ucheshi wake n' alivyo creative sema nadhani hayuko serious enough kukabidhiwa kipindi cha maana kama mwendesha show, ni mtu wa masihara mengi. Sio mtu smart kama b12 ingawa kiutangazaji anamzidiAdam bangi Ndo zinamrudisha nyuma we sikiliza akija yeye tu kwenye kipindi anaanza kupiga makele Kama amewehuka kumpa hizo 15mins pia wamempendelea alitakiwa asiwepo kabisa xxl jamaa chenga sana Yule
B12 alifaa awe na Adamu. Wote wahost wote siyo Adam
Dulla famba yule, kipind anapatikan dulla kuna mzanzibar 1 angefaa ashinde yeye.
Planet bongo ilifariki na sallama
Eyoo Mchomvuuuukitaka kumsikia vizuri msilkilize kwenye wimbo wa Mchizi wangu remix
Lil Ommy.Kuna mchizi mwingine yupo radio timez anaendesha The playlist, jamaa ana flow ya hatari sana, yani angekuwa anaandika mistari, angetisha kinyama.