Adam Mchomvu ni mzoefu wa matukio ya aibu mbele ya live event ushahidi huu hapa

Adam Mchomvu ni mzoefu wa matukio ya aibu mbele ya live event ushahidi huu hapa

dealkubwa

Senior Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
144
Reaction score
587
Habar wakuu kwema hukooo tanzania

Mimi ni mzima moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu

Mim ni mdau makini wa mziki wa kisasa hakuna jambo linalonipita kimya kimya nipo faster sanaa kunyaka udaku daku wa soko la sanaaa hii

Nimekua nikimfuatilia huyu bangi mtu toka mda mrefu sanaaaa na nilikua nanote tu matukio yake nianze kuyadadavua yote kama ifuatavyo

Tukio la kwanza
Hii ilikia miaka kama saba nyuma mwaka 2013/14 hivi dodoma ndan ya makao mkauu ya taifa letu pendwa msema chochote kama wanavyoitwa ila sisi tushazoea kusema mc alikia bwana mkubwa huyu jukwaa lilikua lake mbele yake alikuwapo mstaafu jk pinda ngamia ndio dereva kama mwakyembe kwa sasa yaan wazir mwenye dhamana na viongoz wote wazito hafla ilikua live tbc wakuu wa nch wapo mbele mc akaanza kutangaza wasanii watakaoperfom huku wanaanc na mimi nikiwepo tukishangilia sanaaaaaaa mara alikiba watu eeeeeeeh mara simbaaaa watu eeeeeeh mara chid benz watu eeeeeeh sasa akafika kwa jamaa mmoja anaitwa walter chilamboo huyu ni mshind wa bss sikumbuki mwaka sasa shida haikua katika jina maana huko malaw na japan majina yao pronouce ykae ni shidaaaa bwana yule ambae niliamua kumbatiza bangi mtu tangu siku ile akaanza kuita jina hila kwa kuvutia sehem ya mwisho ya jina na kurudia kama mara tatu kwa msisitizo alisema pia yupo walter chilaMBOOOOOOO akarudia tena chilaMMBOOOO yaan mboooo ilivutwa kwa msiaitizo mpaka viongoz wakaanza kiona aibu nilijisikia vibaya nikajipa moyo ni mizuka ya ujana sababu ndio mara ya kwanza na sio tabia yake mbona ni mtu poa tu..

Tukio la pili

Ilikua kwenye shoo ya kili music award mwaka 2016 kama sikosei mshind wa tuzo mojawapo alikua ni jaydee sasa hakuepo wala hakuweka mwakilish nadhan alikua na mgogoro binafsi na waandaji sasa mc alikua taj liund jina liliitwa mara ya kwanza hakuna mtu alinyanyuka mara ya nne kuna mtu akawa anaelekea jukwan kutoka kwa mashabiki huku mikono akiwa kaweka nyuma anatembea taratibu na heshima nikasema this is a man safi sanaa kumuangalia vizur hee adam mchomvu nikasema wow it sound gud mdau wa sanaa kaokoa jahaz safiii sana watu tukanyanyuka kwa heshima tukiwa tunampigia makofi bwana mkubwa nae kwa mdaha na madoido akaanza kupandisha ngazi camera zote zilikua kwake watu wate wanamshangalia lakin machare yakanicheza mbona jamaa anaenda hapo yaan mchomvu anaonesha hakuna na sisi ana mawazo hapokeo nderemo zetu hata kwa tabasamu tu jamaa akafika katika jukwaa na kujikausha akampita mtoa tuzo mc na kila mtu jukwaan had upande wa nyuma wa jukwaa doooh ukumb mzima ukawa dis appoint na tukio hilo nikajiuliza hiv yupo sawa huyu mtu ..

Tukio la tatu

La tatu ni hili lililotokea leo hata siitaj kulielezea lingine la live ni kugombana na dully live redion baada ya kuumuuliza kitu cha kejel duly syke duly akamjibu mtu mwenye minywele yako michafuu ikawa vita ya maneno mpaka matangazo yakakatwa

Ongezea mengine unayoyajua
 
Who cares really?

Kapiga mtama punguani linalijifanya lipo CCM na kutetea upumbavu wa CCM....na watu walifurahia,thats it!

Hakuna cha CCM,watu wanaongelea mtama!

Na too bad mtama umekua politicized kua ni anguko la CCM....too bad!

Someni alama wehu nyie
Hivi usipotukana huwa haujisikii kama umekomenti kaka yangu?
 
Nimeshindwa kusoma kwakweli, si ungetulia unge edit, ni kama ulikuwa unaandika uzi huku unaendesha gari!!
 
Hivi usipotukana huwa haujisikii kama umekomenti kaka yangu?
Nimetukana wapi?hebu highlight!

Au kuongea kwa lugha usiyoipenda wewe ndio kutukana?

Punguani ni mtu asie na akili timamu of which Mbasha is qualified for,and says who,says me the motherfvcken Wyatt,you have your saying too!

Pumbavu ni jitu lisilo na common sense,of which Mbasha qualifies for it,and bring him here ajitetee yeye binafsi!

Hakuna matusi hapa,ni facts....according to who?Me!

You have your facts too!
 
Back
Top Bottom