Adam mchomvu: Nitamtafuta Emmanuel Mbasha hatujamalizana, amenidhalilisha mbele ya hadhara

Adam mchomvu: Nitamtafuta Emmanuel Mbasha hatujamalizana, amenidhalilisha mbele ya hadhara

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi. Adam mchomvu amesema bado hajamalizana na Mbasha atamtafuta na hajui nini kitatokea.

Adam Anachokitafuta atakipata, nikajua Kajua kwamba kakosea kupiga mtu tena jukwaani.
Lazima waandaaji watadeal nae kimyakimya na bado anaendelea kutia chumvi kwenye kidonda.
Wasije wakakipata wao badala ya Adam.
 
Mtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi. Adam mchomvu amesema bado hajamalizana na Mbasha atamtafuta na hajui nini kitatokea.

Wote wamechanganyikiwa. Wasamehewe
 
Mbasha naye, yaani mtu akukate mtama umuache hata bila ngeo!
 
Adam yuko real sana yule mwamba alichokifanya jana OG yeyote angekifanya ila uko kutamfuta mitaani ndio itakua miyeyusho
 
Bora aachane naye maana Mbasha akifuata sheria Adam atapata tabu maana haijalishi amefanya nini sheria inazuia kuchukua sheria mkononi.
Kwani umeshajua atamalizana nae kivipi je akimpeleka mahakamani
 
adam alifanya kile ambacho hata mimi ningemfanyia huyo jamaa
 
Back
Top Bottom