Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Mtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi. Adam mchomvu amesema bado hajamalizana na Mbasha atamtafuta na hajui nini kitatokea.