Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Ile suruali yake tu, Mara ishuke, Mara aipandishe! Ila mbasha naye msengerema tu acha ashike adabu.Adam kaonyesha kuwa kweli anavuta bangi amethibitisha
Wasije wakakipata wao badala ya Adam.Adam Anachokitafuta atakipata, nikajua Kajua kwamba kakosea kupiga mtu tena jukwaani.
Lazima waandaaji watadeal nae kimyakimya na bado anaendelea kutia chumvi kwenye kidonda.
Sheria inayouma upande mmoja ni sheria ya kidwanziBora aachane naye maana Mbasha akifuata sheria Adam atapata tabu maana haijalishi amefanya nini sheria inazuia kuchukua sheria mkononi.
Wote wamechanganyikiwa. WasameheweMtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi. Adam mchomvu amesema bado hajamalizana na Mbasha atamtafuta na hajui nini kitatokea.
Kwani umeshajua atamalizana nae kivipi je akimpeleka mahakamaniBora aachane naye maana Mbasha akifuata sheria Adam atapata tabu maana haijalishi amefanya nini sheria inazuia kuchukua sheria mkononi.