Adam mchomvu: Nitamtafuta Emmanuel Mbasha hatujamalizana, amenidhalilisha mbele ya hadhara

Ningependa zaidi kale kajamaa "fasta fasta" kangepigwa ngwara
 
Duh kukumbatia ni tamaduni za wenzetu na pia kama umeishi nchi Asia wana aina tofauti za kukumbatia. Narudia usiamini maneno ya wanawake wakitaka jambo lao lifanikiwe.
Ile kesi ya Mbasha mpaka mahakama ilimwachia ni kwamba walikuwa wamepika kila kitu wakashindwa kuunganisha dots na ilionekana wazi mashitaka yalitengenezwa.
 
Sawa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…