Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hapa nani anapaswa kushitaki Kati ya muandaaji na mpigwa tama?
Duh kukumbatia ni tamaduni za wenzetu na pia kama umeishi nchi Asia wana aina tofauti za kukumbatia. Narudia usiamini maneno ya wanawake wakitaka jambo lao lifanikiwe.Sio kwa Mbasha ,siwezi kusimama kwa Mbasha maana tabia zake sio,mambo ya kumkumbatia mwanamme mwenzako tena kwa kugusana vifua sio ,wanaume wanakumbatiana kwa kushikana bega tu halafu kati kunakuwa na space!! Mbasha kwa tabia zake ipo siku tutakuja kusikia story tena kutoka kwa mwanae kwamba anamtafuna.
Sawa Mkuu.Duh kukumbatia ni tamaduni za wenzetu na pia kama umeishi nchi Asia wana aina tofauti za kukumbatia. Narudia usiamini maneno ya wanawake wakitaka jambo lao lifanikiwe.
Ile kesi ya Mbasha mpaka mahakama ilimwachia ni kwamba walikuwa wamepika kila kitu wakashindwa kuunganisha dots na ilionekana wazi mashitaka yalitengenezwa.
Pole Flora Sasa dunia ndio inakuelewa. Miaka mingi umevumilia shida hizi