Adam mchomvu: Nitamtafuta Emmanuel Mbasha hatujamalizana, amenidhalilisha mbele ya hadhara

Adam mchomvu: Nitamtafuta Emmanuel Mbasha hatujamalizana, amenidhalilisha mbele ya hadhara

Kweli BASHA inabidi apigwe tena VITASA kwa Utopolo alioufanya.
 
"Adam mabangeee" alisikika mlevi mmoja aliyepanda jukwaan hku amevalia nguo za kijani
 
Dah.Mbasha katia huruma sana.Ila katumia hekima ku act kama nothing happened ingawa kazingua kumuita mwenzie bange mbele ya kadamnasi.Ule ni utan wa kawaida sanaa wangekua mahala pengine ila ali bugi kuu apply pale "stejini"
 
Usiamini wanawake mkuu. When shit happen btn man and woman stand on man side
Sio kwa Mbasha ,siwezi kusimama kwa Mbasha maana tabia zake sio,mambo ya kumkumbatia mwanamme mwenzako tena kwa kugusana vifua sio ,wanaume wanakumbatiana kwa kushikana bega tu halafu kati kunakuwa na space!! Mbasha kwa tabia zake ipo siku tutakuja kusikia story tena kutoka kwa mwanae kwamba anamtafuna.
 
Kuna siku watu watatumia hili tukio kufanya utafiti wa athari za bangi. Japo msukuma alisema kule kwao mtu akivuta bangi anapata nguvu za kulima shamba kubwa, sasa naona watu wa A town wao wakivuta wanapata nguvu za kupiga ngwara/Mtama.
 
Tafsiri ya sentensi hii kwanza, Tatizo Adam bangi nyingiiiii!

Then ndo muanze kuhukumu inshort Adam kachemka bila shaka kuamzia kesho j3 msipomsikia hewani msishangae endeleeni kumsifia wakati kaisha tia mchanga kitumbua eti wanasema gensta sikutegemea kama Adam angekuwa mshamba namna ile icho kilevi watu tunatumia miaka kibaoooo na tuko fresh heshima mtindo mmoja!
 
Mtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi. Adam mchomvu amesema bado hajamalizana na Mbasha atamtafuta na hajui nini kitatokea.

tumsubirie chugga, hawa machalii wa bongo hawatujui sisi ndo masela wa ngaleloo, daraja mbili, cheka ungatwe, sokoni one na unga limii?
 
Mtama wenyewe wa kidada ule. Ingekuwa mimi ningekula mbili aende kwa hewa kimo cha ng'ombe, akirudi chini watu wanashangilia.
 
Kwa mahitaji na huduma za kupunguza mihemko hadharani, kubalansi shobo, na mitama ya kimo cha mbuzi, tafadhali muone Adam Mchomvu (baba Jonii)
huko pm.... (Tunasimama na AdamMchomvu)
 
Adamu Anavuta Bangi..??? YES YES HAVUTI BANGI...
 
Sio kwa Mbasha ,siwezi kusimama kwa Mbasha maana tabia zake sio,mambo ya kumkumbatia mwanamme mwenzako tena kwa kugusana vifua sio ,wanaume wanakumbatiana kwa kushikana bega tu halafu kati kunakuwa na space!! Mbasha kwa tabia zake ipo siku tutakuja kusikia story tena kutoka kwa mwanae kwamba anamtafuna.
Sio kwa Mbasha ,siwezi kusimama kwa Mbasha maana tabia zake sio,mambo ya kumkumbatia mwanamme mwenzako tena kwa kugusana vifua sio ,wanaume wanakumbatiana kwa kushikana bega tu halafu kati kunakuwa na space!! Mbasha kwa tabia zake ipo siku tutakuja kusikia story tena kutoka kwa mwanae kwamba anamtafuna.
Sio kwa Mbasha ,siwezi kusimama kwa Mbasha maana tabia zake sio,mambo ya kumkumbatia mwanamme mwenzako tena kwa kugusana vifua sio ,wanaume wanakumbatiana kwa kushikana bega tu halafu kati kunakuwa na space!! Mbasha kwa tabia zake ipo siku tutakuja kusikia story tena kutoka kwa mwanae kwamba anamtafuna.
Inaonesha unamjua vizur mbasha? Haya endelea kutochambulia jinsi alivyo..
 
Back
Top Bottom