Adam Mchomvu unaboa bana

Adam Mchomvu unaboa bana

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh
 
Check it out.......check it out....hzi ndo ngoma tunazihappen....this waririz waridu! Brother from another mother....c'mo c'mo....das wasap....das right....ama nini? Mfyuuuuueee......maneno yake hayabadiliki kabisa! Ila watu wa mikoani wanamkubali kinoma! Hahahahaaa....
 
Bila kufanya hivyo utamjuaje kama na yeye mjanja? muache azitumie fursa.
 
gay in the building broadcast from darajani kawe.
 
Mbona akina Mike Mhagama,Sebastian Maganga,Godwin Gondwe wamekimbiza na kupendwa sana kipindi hicho bila kuongea vingereza uchwara?
Watangazaji wa siku hizi wanakera sana kwa kuigana hadi sauti!
Adam Mchomvu ni mchekeshaji si mtangazaji.
 
Jamaa kaoa mzungu so anampaga swaga wife wake...kibaya kipi jama??
 
Mbona akina Mike Mhagama,Sebastian Maganga,Godwin Gondwe wamekimbiza na kupendwa sana kipindi hicho bila kuongea vingereza uchwara?
Watangazaji wa siku hizi wanakera sana kwa kuigana hadi sauti!
Adam Mchomvu ni mchekeshaji si mtangazaji.

Mike Mhagama, dah mkuu umenikumbusha mbali sana late 90's, redio one saa 8 hadi 10, dj show,never miss. Actually huwezi andika historia ya bongo fleva bila kumtaja Mike Mhagama
 
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh

kwani lazima kumsikiliza kama unasikia hadi kutapika kha! wabongo bwana redio station zipo nyingi ume ng'ang'ana hapo tu
 
Clouds fm ni entertaiment radio, so anachokifanya huyo dogo ni part of entertainment, after all vipindi vinavyosikilizwa na vijana ni lazima uweke swagga ili kuwavutia,vinginevyo watahama station tu
 
weww unawasilikilize wale wahuni!? achana nao coz watakua wanakuharibia siku. mia
 
Check it out.......check it out....hzi ndo ngoma tunazihappen....this waririz waridu! Brother from another mother....c'mo c'mo....das wasap....das right....ama nini? Mfyuuuuueee......maneno yake hayabadiliki kabisa! Ila watu wa mikoani wanamkubali kinoma! Hahahahaaa....

mkoani ndio wapi mkuu? Ww haupo mkoani?
 
Kila siku na kiingereza kilekile kibovu tu. Vipi wewe? Tumechoka kusikia ''in a house,'' ''you know what it is,'' ''it is what it is'.' ptuuuuuuuuuuu.......Kama lugha haipandi kaka una ruhusa kutumia Kiswahili bwana. Wengine tunahisi kutapika tukisikia Kiingereza kichafu. Aaaaaaarrrrrrgggghhhhhh

Anabooooooaaaaaaaa
 
nawe amekuathiri eti bana! ndo nini. mwacheni madam mchovu apumuwe!
 
Ila watu wa mikoani wanamkubali kinoma! Hahahahaaa....[/QUOTE]

Ulianza vizuri umechemsha kumalizia.....jiangalie mambo hayako hivyo mikoani...labda hujui kuwa huyo mat**o ana wapenzi wengi dar,mikoa kama yetu full HIP HOP huyo K hana nafasi
 
Back
Top Bottom